Wakazi wa Dodoma wakisongamana eneo la maduka walipokwenda kupata mahitaji leo Deema 24,2020 katika Soko la Sabasaba jijini Dodoma, kwa ajili ya maandalizi ya sherehe ya Krismasi inayosherehekewa Duniani kote Desemba 25. Picha na Richard Mwaikenda.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Zahor Matar Masoud akizungumzia kuhusiana na…
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Darsh Industries Limited ,Bhadresh Pandit akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya jukwaa la Kimataifa la Biashara na…