WAZIRI MKUU: KILA MKUU WA MKOA ATATOA TAARIFA KUHUSU UKUZAJI BIASHARA
*Asema waandae mapendekezo kuhusu utitiri wa taasisi za udhibiti na kodi *Ataka yawasilishwe kwa Waziri wa Fedha, yaingizwe katika Muswada wa Sheria ya Fedha…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
*Asema waandae mapendekezo kuhusu utitiri wa taasisi za udhibiti na kodi *Ataka yawasilishwe kwa Waziri wa Fedha, yaingizwe katika Muswada wa Sheria ya Fedha…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha sekta ya uchunguzi wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sukari ya ABF ya Uingereza…
Na Sophia Kingimali, Dar es Salaam SHIRIKA la Weka Mazingira Safi (WEMASA) limetoa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari wanawake ili kuwawezesha kuripoti kwa…
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, (Mb), akiwasilisha bungeni jijini Dodoma, Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema linaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kimkakati inayolenga kuimarisha sekta ya…
Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya…
Tanzania imeshiriki mkutano uliohusu kufanikisha usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake wa rika zote wakiwemo wazee. Mkutano huo uliofanyika Machi 10, 2025 ni sehemu…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Asha-Rose Migiro,leo tarehe 11 Machi 2026 amefanya mazungumzo jijini Dodoma na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalum wa…
Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Ndugu Dennis Gondwe, Machi 11, 2026…