fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
GESI ASILIA KUONGEZA HAMASA YA UPEKEE WA UHUSIANO NA USHIRIKIANO WA KENYA NA TANZANIA
Na John Bukuku Mradi wa ujenzi wa bomba la gesi asilia kutoka Tanzania hadi Mombasa nchini Kenya unatajwa kuongeza hamasa mpya ya upekee wa…
DCEA, NSSF, PSSSF YASAIDIA WARAIBU WATOA VITANDA 80 NA MAGODORO 160
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude akizungumza kwenye hafla hiyo jijini Arusha. …….. Na Happy Lazaro, Arusha MKUU wa Wilaya ya Arusha, Joseph…
TANZANIA NA DRC KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI ASILIA
*Waziri Ndejembi afanya mazungumzo na Waziri wa Hydrocarbons kutoka DRC Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Hydrocarbons…
DKT. ABBASI, KAMPUNI ZA KIMATAIFA WAJADILI MIKAKATI YA KUTANGAZA UTALII
Katika kuongeza juhudi za kuitangaza Tanzania kimataifa ili kufikia lengo la watalii milioni 8 mwaka 2030, leo jioni hii Mei 7, 2026, Katibu Mkuu…
NJOMBE YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI
📍Njombe Mkoa wa Njombe umetangaza rasmi fursa mpya za uwekezaji katika sekta ya madini baada ya kubainika kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali za…
WIZARA YA FEDHA YAKUTANISHA SERIKALI NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUIMARISHA MAENDELEO.
Kaimu Kamishna Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. John Kuchaka, akizungumza wakati akifungua warsha ya siku moja iliyokutanisha Serikali na…
MENEJA KANDA NAMBA SITA AHIMIZA USHIRIKIANO UKUSANYAJI MAPATO
Meneja wa Kanda Namba Sita, Lucas Nkelege amekutana na watendaji wa kata pamoja na watendaji wa mitaa inayounda kanda hiyo kwa lengo la kutoa…
JESHI LA POLISI PWANI YAMTIA NGUVUNI MMILIKI WA ENEO KUFUATIA VIFO NA MAJERUHI VIKAWE- KIBAHA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limemkamata mmiliki wa eneo linalohusishwa na mgogoro wa ardhi uliosababisha vifo vya watu wawili…
DKT. MWIGULU AELEKEA MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 7, 2026 amesafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka jijini Dodoma kuelekea Morogoro…