Sunday, October 11, 2026

fullshangwe

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

31803 Stories
FUNGENI MKANDA MUDA WOTE MUWAPO SAFARINI

FUNGENI MKANDA MUDA WOTE MUWAPO SAFARINI

Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Songwe Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Charles Bukombe amewataka abiria wanaosafiri barabara ya Tunduma – Mbeya na wanaotoka…

TANROADS RUVUMA YAPOKEWA SHILINGI BILIONI 2.5  KUFANYA MATENGENEZO YA BARABARA ZILIZOHARIBIKA NA MVUA

TANROADS RUVUMA YAPOKEWA SHILINGI BILIONI 2.5 KUFANYA MATENGENEZO YA BARABARA ZILIZOHARIBIKA NA MVUA

Mafundi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd wakiendelea na ukarabati wa miundombinu katika daraja la Namiungo wilayani Tunduru lililoharibika baada ya kingo za daraja hilo kusombwa na maji ya mvua za masika mwezi Machi mwaka huu. Mhandisi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd Azimio Mwapongo kulia,akimsikiliza Meneja wa TANROADS Mkoani Ruvuma Mhandisi Saleh Juma aliyefika katika daraja la Namiungo kwa ajili ya kukagua kazi ya ukarabati wa daraja hilo ambalo  kingo zake ziliharibika  baada ya kusombwa na maji. Meneja wa TANROADS Mkoani Ruvuma Mhandisi Saleh Juma,akikagua kazi ya ukarabati wa miundombinu ya daraja la Namiungo wilayani Tunduru lililoathirika na mvua za masika baada ya maji kusomba upande mmoja wa daraja hilo,kulia ni mkuu wa kitengo cha mipango TANROADS  Mhandisi Rubara Marando na katikati Mhandisi wa kampuni ya Ovans Constructions Ltd inayofanya ukarabati huo Azimio Mwapongo. Na Mwandishi wetu, Tunduru WAKALA wa barabara (TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,umepokea Sh.bilioni…