fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
AACHA KUNYWA POMBE BAADA YA MIAKA 10 HUKU AKIPATA KAZI YA MSHAHARA MNONO
Kijana mmoja aitwaye Alex alianza kunywa pombe mapema mwaka 2013 akiwa katika shule ya upili, hii ni kutokana na shinikizo la rika lake, hivyo…
KUTOKA TAASISI YA UTAFITI WA KILIMO TANZANIA (TARI)
Wakulima wa pamba Mkoani Morogoro wamesisitizwa kuzingatia kanuni za upandaji wa pamba ambazo ni sentimita 60 mstari hadi mstari na sentimita 30 kutoka shimo…
RC KUNENGE AIPONGEZA MAFIA KWA KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI
Na Mwamvua Mwinyi,Mafia Juni 19, 2024 Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya…
RAIS SAMIA AWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI, KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS RAMAPHOSA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 18…
WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA MAFANIKIO
*Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo *Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe *TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo…
MAKAMU WA RAIS AKIWAFARIJI VIONGOZI MKOA WA KILIMANJARO KUFUATIA KIFO CHA RAS NZUNDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu kufuatia kifo…
KAMPUNI YA UBORA DESIGN YAZINDUA KITUO KIPYA CHA MAONYESHO NA UBUNIFU
Mwanzilishi na mmiliki wa kituo hicho cha Ubora design ,Christopher Lee Plummer akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho,Lucy…
SERIKALI KUWEKA MIFUMO YA KISERA NA KISHERIA KUIMARISHA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, Maafisa Habari wa Serikali pamoja na Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua…