fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TAIFA STARS YAFUFUA MATUMAINI YA KUFUZU AFCON 2025
Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania ‘Taifa Stars’ imefufua matumaini ya kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2025) baada…
MATUKIO YA UBAKAJI, ULAWITI, UTEKAJI NA MAUAJI YANATIA DOA NA AIBU KATIKA TAIFA
Na Sophia Kingimali. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amesema matukio ya utekaji, Kulawiti, Kunyanyasa, Ubakaji, Utekaji na Mauaji yanayoendelea…
DKT. BITEKO AMFARIJI ANGELAH KAIRUKI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 10, 2024, amesaini Kitabu cha Maombolezo kwenye msiba wa Mzee Peter…
WATOTO 23 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO
Wataalamu wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya…
WAZIRI WA MAJI NISHATI NA MADINI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.
Baaadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduwara na Waandishi wa Habari kuhusiana na…
WAZIRI LUKUVI AFUNGUA MAONESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI FURSA KWA WANANCHI SINGIDA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Mhe William Lukuvi akizingumza wakati akifungua maonyesho ya saba ya mifuko na programu za…
HUDUMA ZA KIBINGWA MUHIMBILI ZAPUNGUA RUFAA NJE YA NCHI
WAF Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi…
DKT. BITEKO: SERIKALI KUVUTIA WAWEKEZAJI UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI
*Ashuhudia makabidhiano leseni ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma *Azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira *Kitalu cha Ruvuma…
WAZIRI MKUU MGENIRASMI UZINDUZI TAARIFA YA TATHIMINI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI(MKUMBI).
Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na waandishi wa habari Mkoani Arusha leo kuhusu uzinduzi huo. …………