STEPHEN WASIRA MTEULE WA UMAKAMU MWENYEKITI CCM BARA
Mwanasiasa mkongwe Stephen Wasira, ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mwanasiasa mkongwe Stephen Wasira, ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikalini, ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara.…
Wasanii mbalimbali na watu maarufu ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Lengo…
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya…
Jina langu ni Salumu, ni kijana wa miaka 24 niliyefanikiwa kimaisha, ni mfanyabiashara kutoka Tanga nikiwa namiliki super market kadhaa katika jiji hili lenye…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aahidi suluhu ya changamoto za uvamizi na huduma za msingi Dar es Salaam, Januari 17, 2025 –…
Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa…
Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Manispaa ya Songea(Souwasa)Mhandisi Vicent Bahemana kulia,akionyesha mchoro wa mradi huo kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wake Mwinyi Msolomi aliyevaa kaunda suti wakati wa ziara ya wajumbe hao walipotembelea mradi huo jana. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini mkoani Ruvuma Mwinyi Msolomi katikati na katibu wa Chama hicho James Mgego kushoto, wakikagua tenki la kuhifadhi maji lita milioni 2 eneo la Chandamali linalojengwa kupitia mradi wa maji wa miji 28 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kulia msimamizi wa mradi huo kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Songea(Souwasa) Mhandisi Vicent Bahemana. Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwa gharama ya Sh.bilioni 145.77 Mhandisi Vicent Bahemana,akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini, kuhusu maendelea ya ujenzi wa mradi huo baada ya wajumbe hao kufika eneo la Mahiro ambako kunatarajia kujengwa tenki kubwa la kuhifadhi lita milioni 5 za maji.