fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC CHALAMILA KUIMARISHA MAZUNGUMZO KATI YA KIWANDA CHA SARUJI WAZO HILL NA WANANCHI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aahidi suluhu ya changamoto za uvamizi na huduma za msingi Dar es Salaam, Januari 17, 2025 –…
MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI MIKOA YA MTWARA, LINDI NA RUVUMA YAFUNGULIWA LEO
Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa…
SERIKALI YAOMBWA KUTOA FEDHA ZA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 UNAOTEKELEZWA KATIKA MJI WA SONGEA
Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Manispaa ya Songea(Souwasa)Mhandisi Vicent Bahemana kulia,akionyesha mchoro wa mradi huo kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wake Mwinyi Msolomi aliyevaa kaunda suti wakati wa ziara ya wajumbe hao walipotembelea mradi huo jana. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini mkoani Ruvuma Mwinyi Msolomi katikati na katibu wa Chama hicho James Mgego kushoto, wakikagua tenki la kuhifadhi maji lita milioni 2 eneo la Chandamali linalojengwa kupitia mradi wa maji wa miji 28 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kulia msimamizi wa mradi huo kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Songea(Souwasa) Mhandisi Vicent Bahemana. Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwa gharama ya Sh.bilioni 145.77 Mhandisi Vicent Bahemana,akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini, kuhusu maendelea ya ujenzi wa mradi huo baada ya wajumbe hao kufika eneo la Mahiro ambako kunatarajia kujengwa tenki kubwa la kuhifadhi lita milioni 5 za maji.
MHANDISI MWAKASEGE ATINGA MTAANI KUKAGUA MAFUNDI UTATUZI WA KERO HUDUMA YA UMEME
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini Mhandisi Florence Mwakasege (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo kwa fundi umeme leo Januari…
COCA-COLA KWANZA RECOGNIZED AS A TOP EMPLOYER FOR 2025
CCBA in Tanzania leaders with Top Employer award: left to right – Emmanuel Kyarwenda ,Fatma Mnaro Jonathan Jooste ,Scolastika Augustine, Haji Ali, Hassan Waziri…
ASIYEHUSIKA AKAE MBALI NA UWANJA WA MKAPA, MBUNGI LITAKUWA MWEMBEYANGA
“Asiyehusika yoyote atae mbali na Uwanja wa Mkapa, najua tunaumia hata mimi mwenyewe naumia.” “Kwa kuwa watu wanataka kuiona timu yao pamoja kama tulivyozoea,…
AFISA MISITU WA SULEDO WILAYA YA KITETO AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUOMBA RUSHWA
Kiteto, Januari 14, 2025 Afisa Misitu wa Jumuiya ya Uhifadhi Msitu wa SULEDO, Bw. Siloma Manyindo Mtero, amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kiteto kwa…
PRINCE EDDYCOOL AWATAKA VIJANA KUWA WABUNIFU, WAJIAJIRI KWA KILIMO
NA FAUZIA MUSSA BALOZI wa Vijana Zanzibar, Mohammed Kassim Mohammed, maarufu kama Prince Eddycool, amewahimiza vijana kuwa wabunifu na kuanzisha miradi ya kiuchumi ili…
NCC YAHIMIZA UJENZI WA MAJENGO SALAMA NA YANAYOZINGATIA AFYA YA WATUMIAJI
Timu ya wahandisi kutoka Baraza la Taifa la Ujenzi(NCC) wakifanya mapitio ya rasimu ya kanuni za majenzi (Building Codes) na maoni yaliyotolewa na Benki…