fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC MAKONDA ATIMIZA AHADI YAKE, AKIREJESHA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA.
Na Prisca Libaga, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Machi 03, 2025 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid…
BENKI YA I&M YAZINDUA KAMPENI YA ‘NI BURE KABISA’
Mtendaji Mkuu wa Benki ya I&M Zahir Mustafa (katikati), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Rejareja Benk ya I&M Simon Gachahi (kushoto) na Mkuu wa…
RAIS SAMIA AFUTURISHA WATOTO YATIMA NA WENYE MAHITAJI NAALUM IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es…
WANAFUNZI TPC WADANDIA “KIBERENGE “CHA MIWA KURUDI MAKWAO ,ABC IMPACT WATOA BAISKELI
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya TPC wakionesha furaha yao wakati wakiendesha baiskeli zilizotolewana taasisi ya ABC Impact kama sehemu ya msaada ukilenga kuondoa…
WAZIRI SORAGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TEHAMA KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe Mudrik Ramadhan Soraga amewataka vijana kutumia fursa ya tehama ili kuleta mageuzi ya kiuchumi katika nchini. …
DKT. KHALID AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA ZMA NA KUSISITIZA UWAJIBIKAJI
NA IMANI MTUMWA DUWAZA Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dkt Khalid Salum Muhammed ameitaka Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usafiri Baharini…
DAR- KUFANYA KONGAMANO MAALUM KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, Mkoani Dar es salaam inatarajia kufanya kongamano maalum machi nne mwaka huu katika ukumbi wa Ubungo Plaza lengo…
WASIRA- VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VIENDESHWE KWA KUZINGATIA MAHITAJI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati…
WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA HUDUMA YA e RITA KWA WINGI KURAHISISHA UPATIKANAJI WA HUDUMA
Mratibu wa RITA mkoa wa Arusha Philemon Mkwai wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda lao lililoko kwenye viwanja vya TBA mkoani Arusha…