KAMPENI YA VOTE NOW YAZINDULIWA HIFADHI YA TAIFA KITULO:WATANZANIA WAHAMASISHWA KUPIGA KURA.
Na. Mwandishi Wetu Baraka Venant- Kitulo. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua Kampeni ya *vote now* ndani ya Hifadhi ya Taifa Kitulo…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na. Mwandishi Wetu Baraka Venant- Kitulo. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua Kampeni ya *vote now* ndani ya Hifadhi ya Taifa Kitulo…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza Menejimenti ya Wizara katika kikao na Kamati…
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa mabadiliko yaliyofanyika kwenye sekta ya afya ikiwemo uwekezaji kwenye miundo mbinu na ubora wa huduma…
Watoto takribani 264 wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Mkoani Mara waliokuwa wamefichwa bila kuanza masomo wameibuliwa kutoka majumbani katika kata Sita…
Mkurugenzi wa Kampuni ya Sanku upande wa mahusiano na Serikali Gwao Omari Gwao,akiwaonyesha Waandishi wa Habari moja ya mashine ya kusaga nafaka yenye uwezo…
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt Emanuel Nchimbi,akiangalia vikundi vya ngoma kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Namtumbo Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma jana…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya…
*Asema CCM inauwaunga mkono wakiamua kususia uchaguzi mkuu *Asisitiza ni kosa kukilazimisha chama cha siasa kushiriki uchaguzi KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 utafanyika kama ilivyoelekezwa na Katiba…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amefanya ziara ya kikazi ya siku moja tarehe 3 Aprili…