John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TANZANIA YAONGOZA KATIKA UWAZI WA SEKTA YA MADINI, ANGLOGOLD
Arusha, Machi 2025 – Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama kinara wa kimataifa katika sekta ya madini kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 62 wa Bodi…
MWENYEKITI WA UVCCM MARA AWATAKA VIJANA KUFUATA SHERIA NA KUTUMIA FURSA
Tarime, Mara – Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, amewataka vijana wa mkoa huo kuacha…
RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AZINDUA SERA YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA 2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uzinduzi huo uliyofanyika…
DC SONGEA ASIKITISHWA NA MIGOGORO NDANI YA CHAMA CHA WALIMU, AMUOMBA MSAJILI WA VYAMA KUTOSAJILI CHAMA ZAIDI YA KIMOJA
Mjumbe wa kamati ya utendaji Taifa ya Chama cha Walimu Tanzania anayewakilisha Mkoa wa Ruvuma Sabina Lipukila,akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu…
RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI MGENI RASMIN MASHINDANO YA KUHIFADHI QURAN AFRIKA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa la Viongozi katika Uwanja wa New Amaan Complex, …
UVCCM BABATI MJINI WAMPONGEZA RAIS KWA KUFANYA MATEMBEZI MAALUM.
Na John Walter -Babati Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mjini Babati umefanya matembezi maalum katika viunga vya mji huo, wakimpongeza Rais…
TANZANIA YAMNADI PROF. JANABI NAFASI YA MKURUGENZI WA WHO KANDA YA AFRIKA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemtangaza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mgombea wa Nafasi ya…
RAIS SAMIA AZINDUA SERA YA MAJI TOLEO LA 2025 MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi…
WAKOPAJI WAKUMBUSHWA KUSOMA MIKATABA KABLA YA KUCHUKUA MIKOPO
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Arch. Chagu Nghoma, akizungumza alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha pamoja na Taasisi zake…