John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MCHENGERWA: DARAJA LA MUHORO NI MKOMBOZI KWA WANANCHI RUFIJI
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Daraja la Muhoro utaleta ukombozi kwa wananchi wa Kata ya Muhoro,…
WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA WATHIRIKA WA MVUA MUSOMA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb), ametoa pole kwa kaya takribani 319 ambazo zimeathiriwa na upepo mkali ulioezua paa za nyumba zao…
WIZARA YA MADINI YAIELEZA KAMATI YA BUNGE ILIVYOTEKELEZA BAJETI YA MWAKA2024/25
*Waziri Mavunde Asema Makusanyo ya Mwaka 2024/25 Yamevunja rekodi *Katibu Mkuu Aeleza Mipango kuihamisha STAMICO kwenye Uwekezaji Mkubwa *Kamati Yapongeza Mwenendo Ukusanyaji Maduhuli, Ushirikishwaji…
MWANASHERIA MKUU: “KITU CHA KWANZA KWA MWANASHERIA NI KUFANYA MAMBO BORA KWA WAKATI”
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akizungumza katika ufunguzi wa semina ya mawakili wa serikali inayofanyika mkoani Arusha. Mwandishi Mkuu wa Sheria…
THBUB YAWATAKA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUWAFICHA WAALIFU ILI SHERIA ICHUKUE MKONDOh WAKE
NJOMBE,Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) nchini imeitaka jamii kuacha tabia ya kuficha ushahidi wa matukio ya ukiukwaji na uvunjifu wa…
WAZIRI MKUU AZINDUA LANGO LA UTALII NDEA KATIKA HIFADHI YA TIFA MKOMAZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe alipozindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa Mkomazi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro…
WASIRA AONYA WANAOTAKA UBUNGE KWA KUTOA RUSHWA, KUVUNJA MAADILI CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wanachama na Viongozi mbalimbali wa CCM wakati akihitimisha ziara yake ya…
WAFANYAKAZI WA ZMUX WAMUAGA MFANYAKAZI MWENZAO ZANZIBAR
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Kurusha Maudhui (ZMUX)waliohudhuria katika hafla ya kumuaga aliekua Mfanyakazi wa Kampuni hio Hawa Ibrahim Saburi alitimiza Miaka yake…
DC LULANDALA AWATAKA WADAU SIMANJIRO KUCHANGIA MAENDELEO
Na Mwandishi wetu, Mirerani WADAU wa maendeleo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wametakiwa kuchangia maendeleo kwa jamii inayowazunguka ili kipato wanachokipata kinufaishe kupitia rasilimali hizo.…