Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI KIJAJI:WATANZAMIA TUMIENI FURSA KUPELEKA BIDHAA UINGEREZA
Serikali imewashauri watanzania kutumia fursa ya mpango wa biashara wa Nchi zinazoendelea kwa kuhakikisha wanapeleka bidhaa katika nchi ya Uingereza ili kukuza Uchumi…
SIMANJIRO WAONYWA UHARIBIFU MIUNDOMBINU YA MAJI
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara l, Dkt Suleiman Hassan Serera akifungua kikao cha kujadili mradi wa kuboresha upatikanaji wa huduma za maji…
RC RUVUMA AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA MAJIBU YA HOJA NA MAPENDEKEZO YA CAG
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza kwenye kikao cha mapitio ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge…
MISA TAN, TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN Bi.…
RAIS SAMIA KUWAONGOZA WATANZANIA KWENYE IBADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA HAYATI EDWARD SOKOINE
MSEMAJI wa familia ya Hayati Sokoine Bw. Lembris Kipuyo,akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 28,2024 jijini Dodoma kuhusu kumbukizi ya miaka 40 ya…
WAGANGA WAFAWIDHI NCHINI NA WATUMISHI NDANI YA SEKTA YA AFYA WATAKIWA KUTOKUWA KIKWAZO KWA WAWEKEZAJI
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Afya ya Msingi uliofanyika kwa siku Tatu ulioshirikisha washiriki…
DCEA KANDA YA KASKAZINI YATOA ELIMU YA MADHARA YA DAWA ZA KULEVYA MPAKANI WA OSBP HOLILI, SEKONDARI HOLILI NAO WAFIKIWA
Na Prisca Libaga Maelezo Kilimanjaro Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini tarehe 27.03.2024 ilitoa elimu juu ya…
RC KUNENGE- MABARAZA YA ARDHI LA NYUMBA YATENDE HAKI ,HAKUNA ALIYEJUU YA SHERIA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki…