MKUU MPYA WA WILAYA YA IKUNGI AAPISHWA RASMI KUANZA MAJUKUMU
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bi Rehema Nchimbi,akimuapisha Rasmi Mkuu mpya wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Bw Edward Mpogolo,aliyeteuliwa jana na Rais Dkt.Magufuli…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Bi Rehema Nchimbi,akimuapisha Rasmi Mkuu mpya wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Bw Edward Mpogolo,aliyeteuliwa jana na Rais Dkt.Magufuli…
Mbunge wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe ambaye Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akifundisha somo la Hesabu kwa wanafunzi wa darasa la saba…
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi na wanafunzi wa vyuo mbalimbali wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, kuwasilisha walaka wao, waliomwandikia Rais…
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbwamaji uliopo Gezaulole Kata ya Somangila Wilayani Kigamboni, Yohana Luhemeja akiwa kwenye eneo hilo la jengo la kisima. Mkimbiza Mwenge…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa amekutana na kufanya mazungumzo na Wadau mbalimbali kutoka Sekta binafsi na Serikali ikiwa ni muendelezo…
Mbunge wa Geita mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akizungmza kwenye mkutano kati ya wananchi na Mbunge kuhusu…
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na Wataalam wanaoshiriki majadiliano ya kufanyia maboresho ya sekta ndogo ya haki jinai nchini unaofanyika jijini…