SIMA – MIFUKO MBADALA ISIYOKIDHI VIWANGO MARUFUKU NCHINI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akitoa ufafanuzi wa hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa Mashauriano baina ya…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akitoa ufafanuzi wa hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa Mashauriano baina ya…
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizindua matrekta matatu yaliyonunuliwa na Wakala wa Mbegu (ASA) kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa uzalishaji mbegu…
Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya kuruhusu bao wakichapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku…
Mkuu-wa-Chuo-cha-Ustawi-wa-Jamii-Dkt.-Joyce-Nyoni-akifungua-Kongamano-la-Saba-la-Kitaaluma-Jana-Chuoni-hapo Prof. Wetengere Kitojo akiwasilisha mada kwa wanataaluma kwenye kongamano la saba la Chuo cha Ustawi wa jamii jana Chuoni hapo Kijitonyama Dar es…
Jeshi la Polisi mkoa Kilimanjaro leo tarehe 05.12.2019 wamepata mafunzo maalum yaliyoendeshwa na maafisa BOT mafunzo hayo yalikuwa yanahusiana na utambuzi wa noti bandia…
UTAFITI uliyofanywa na Shirika linalohusika na usalama na Ustawi wa wanyama Duniani (World Animal Protection) umebaini kuwa kuku wengi wanaouzwa katika maeneo mbalimbali nchini…
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akiangalia ujazo wa maji kwenye tenki la Mradi wa Maji wa Busisi, wilayani Sengerema. Naibu Waziri wa Maji,…
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga Sophia Jongo akizungumza leo Desemba 5,2019 kwenye maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia,ambapo…
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka King Salman Humanitarian Aid and Relief Center…