Home Michezo MECHI TISA MFULULIZO ARSENAL HAIJAPATA USHINDI,YACHAPWA 2-1 NA BRIGHTON PALE PALE EMIRATES

MECHI TISA MFULULIZO ARSENAL HAIJAPATA USHINDI,YACHAPWA 2-1 NA BRIGHTON PALE PALE EMIRATES

0

Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya kuruhusu bao wakichapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London. Mabao ya Brighton yalifungwa na Adam Webster dakika ya 36 na Neal Maupay dakika ya 80, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 50 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA