RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo 22-5-2019(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar, uliofanyikia katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo 22-05-2019.(Picha na Ikulu
NO 9010///NAIBU Waziri Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Mhe. Lulu Msham, akwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo,22-5-2019, kushoto Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni Zanzibar Mhe. Chimbeni Kheri.(Picha na Ikulu)
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, wakifuatilia Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019.(Picha na Ikulu)

Mkuu Wizara ya Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Zanzibar Ndg. Omar Hassan King akiwasilisha viwangu vya Matumizi na Mapato ya Wizara wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, kushoto Mshauri wa Rais Afisi ya Rais Pemba Mhe. Maua Abeid Daftari na Mshauri wa Rais Masuala yac Uwezeshaji Mhe. Abdulrahaman Mwinyijumbe.(Picha na Ikulu)