Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 65 kufuatia Federico Fernandez kujifunga dakika ya 10 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St James’ Park. Ushindi unaipeleka The Blues kileleni japo kwa saa kadhaa, ikifikisha pointi 18 sawa na Leicester City PICHA ZAIDI SOMA HAPA