Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi funguo Bibi.Miza Haji Juma akiwa ni miongoni mwa Wananchi watakaoishi katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja kufuatia kuhamishwa katika makaazi yao ya awali kupisha ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Mafuta na Gesi Asilia,hafla hiyo ilifanyika leo katika viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo katika viwanja vya Nyumba hizo,[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Baadhi ya wananchi wa maeneo jirani na Kijiji cha Dundua wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ufunguzi wa Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo .[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kufungua Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi msikiti katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja leo.(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati mhe.salama Aboud Talib na (kushoto) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti Huduma za maji na Nishati (ZURA) Mama Zakia Melgji hafla hiyo ilifanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali walishuhudia ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo mara alipotembelea Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini”B” Unguja. baada ya kuzifungua rasmi hafla hiyo ilifanyika leo (kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nyumba na Nishati Mhe.salama Aboud Talib.[Picha na Ikulu] 24/10/2020.