Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiakizungumza na wananchi wa Kata ya Rotia wilayani Karatu mkoani Arusha kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-KARATU)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiakizungumza na wananchi wa Kata ya Rotia wilayani Karatu mkoani Arusha Jumamosi Oktoba 24, 2020.
Wananchi wakishangilia wakati Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa kata ya Rotia wilayani Karatu.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki Rais Dk John Pombe Magufuli wakati alipozungumza nao katika kata ya Rotia wilayani Karatu