MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Viongozi na Wadau wa michezo katika hoteli ya Misali Pemba.
BAADHI ya viongozi na wadau wa michezo kisiwani Pemba wakisikiliza nasaha za Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk.Hussein Ali Mwinyi,wakati akizungumza nao ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali.