Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Nyumba za maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepa kama ishara ya ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar leo,(kulia) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi (wa tatu kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Baadhi ya Wananchi wa Maeneo mbali mbali wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi ,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Ali Hamad Haji (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akiwaslimia Wananchi wa Jimbo lake la Kwahani pamoja na Viongozi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasm alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) .[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bibi .Hamida Mwinyi Mmadi (wa pili kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Abdi Ameir Ali (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma,[Picha na Ikulu.] 12/10/2020.