Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Umati wa Wananchi wa Kijiji cha Ikaka, St. Maria na Kasekese Mpanda alipokuwa njiani akielekea Ikola Mpanda Mkoani Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 06,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ndani ya ndege aina ya Helkopta 5Y-HSN ya Chama cha Mapinduzi CCM akijiangaa kuruka kutoka Kijiji cha Ikola Mpanda Vijijini Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kuelekea Mpanda Mjini baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Ikola Jimbo la Mpanda Vijijini katika uwanja wa Ikola Stoo leo Octoba 06,2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Ikola Mpanda wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ikola Stoo Mpanda Mkoani Katavi leo Octoba 06,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Mpanda Vijijini Mhe. Moshi S. Kakoso kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano uliofanyika leo Octoba 06,2020 katika uwanja wa Ikola Stoo Mpanda Vijijini Mkoani Katavi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Ikola Mpanda alipowasili katika uwanja wa CCM Ikola Stoo Mpanda Mkoani Katavi kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 06,2020.