Home Mchanganyiko KUAGWA KWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR. SUZA TUNGUU...

KUAGWA KWA MKUU WA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR. SUZA TUNGUU DK SHEIN .

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae
pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha  Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali
Mohamed Shein, akiwa katika maandamano  wakati wa hafla ya kumuaga
iliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya
Kati Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na (kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dkt. Zakia Mohammed, wakielekea katika
ukumbi.(Picha na Ikulu)

SHEIKH Suwed Ali Suwed akisoma Qur-an wakati wa hafla ya
kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu SUZA
leo 6/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae
pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed
Shein akikabidhi Cheti Maalum na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la SUZA
Ndg. Mwita Mgeni wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi wa
Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati leo 6/10/2020 na (kulia kwa
Rais) Makamu Mkuu wa SUZA Dkt. Zakia Mohammed na Profesa Saleh Idriss na
(kushoto  kwa Makamu wa Baraza la SUZA) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe na Katibu Mkuu wa Wizara hiyto Dkt.
Idriss Muslim Hija.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae
pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein akikabidhiwa zawadi ya picha yake ya kuchora na Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pemba wakati wa hafla ya kumuaga
iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) na
(kulia kwa Rais) Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt.
Zakia Mohammed na Profesa Saleh Idriss.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikabidhiwa
zawadi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe,
wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na (kulia kwake) Makamu Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed, hafla hiyo
imefanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya
ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 6/10/2020.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae
pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya
kuwasili katika ukumbi wa DK.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu, kuhudhuria
hafla ya kumuaga iliofanyika katika ukumbi huo na (kulia kwa Rais)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia Mohammed na
(kushoto kwa Rais) Waziri  wa Elimu na Mafunzo wa Amali Zanzibar Mhe
Riziki Pembe na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar Ndg. Mwita Mgeni.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Mhe.Dk.Ali
Mohamed Shein akihutubia katika hafla ya kumuaga iliofanyika katika
ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu (SUZA) leo 6/10/2020 Wilaya ya
Kati Mkoa  Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

WANATAALUMA na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
wakihudhuria hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akihutubia katika ukumbi wa Dk Ali
Mohameed Shein Tunguu (SUZA) leo 6/10/2020.(Picha na Ikulu)MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Dkt. Zakia
Mohammed akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein, iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali
Mohamed Shein Tunguu (SUZA) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo
6/10/2020.(Picha na Ikulu)

BAADHI  ya Viongozi  wa Serikali na Vyama vya Siasa wakiwa
wamesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kumuaga Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika ukumbi wa Dk. Ali
Mohamed Shein (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo
6/10/2020.(Picha na Ikulu)