Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akishuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la (ATCL) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Marehemu Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020 tayari kwa mkutano wake wa kampeni utakaofanyika kesho kwenye viwanja ya Maisara jijini Zanzibar.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-ZANZIBAR)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akifurahia ngoma ya asili ya Zanzibar mara baada ya kushuka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la ATCL wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Marehemu Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020 tayari kwa mkutano wake wa kampeni utakaofanyika kesho kwenye viwanja ya Maisara jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Abdula Juma Sadala Mabodi wakipiga makofi wakati kikundi cha ngoma ya asili ya Zanzibari kikitumbuiza kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020 tayari kwa mkutano wake wa kampeni utakaofanyika kesho kwenye viwanja ya Maisara jijini Zanzibar.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akikitunza kikundi cha ngoma kilichotumbuiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akipungia mkono kukundi cha burudani kilichotumbuiza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020, Kulia ni Abdula Juma Sadala “Mabodi” Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar akipiga makofi.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli na Abdula Juma Sadala “Mabodi” Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar wakifurahia kikundi cha ngoma za asili ya Zanzibar kilichokuwa kikitoa burudani kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar leo Ijumaa Oktoba 02.2020.
Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya Diamondplatnamz ni miongozi mwa wanamuziki walioongozana na mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasili jijini Zanzibar leo kushoto ni DJ Maarufu wa Diamondplatnamz Rommy Jons.