Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septemba 30.2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MBEYA)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020/2025 wakati akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza na kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septemba 30.2020.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CCM) Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni unaofanyika kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septemba 30.2020.
Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Dk. Tulia Ackson akizungumza katika mkutano huo kablaya Rais Dk. Magufuli kuhutubia mkutano huo.
Mwanamuziki Diamondplatnamz akitumbuiza pamoja na kundi lake kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa ndege wa zamani jijini Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Mzee Philip mangula akizungumzakatika mkutano huo kabla ya mgombea Urais Dk. John Pombe Magufuli kuhutubia maelfu ya wananchi waliojitokezakatika mkutano huo.
Baadhi ya wagombea ubunge wa mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Dk. Tulia Ackson wakiwa wameketi jukwaa kuu.
Baadhi ya madiwani wakielekea jukwaa la burudani wakati mwanamuziki Diamondplatnamz akitumbuiza jukwaani.
Picha mbalimbali zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya.
Picha mbalimbali zikionesha maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Ndege wa zamani jijini Mbeya.