Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Kamanda Shana aliwahi kuwa RCO Mikoa Mbalimbali Nchini ikiwemo Simiyu, RPC-Mikoa ya Pwani, Mwanza na Arusha
–
ACP Jonathan Shana amefariki akiwa Afisa Mnadhimu Namba Moja katika Chuo cha Polisi (CCP) Moshi.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN
TUTAZIDI KUWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.