Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa wilaya ya Sengerema kwenye uwanja wa Mnadani mkoani Mwanza leo Jumanne Septemba 8,2020 wakati akiwa njiani kwenda mkoani Geita kwa ajili ya kuendelea na mikutano ya Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28,2020 nchini kote.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-SENGEREMA)
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wananchi wa wilaya ya Sengerema kwenye uwanja wa Mnadani mkoani Mwanza leo Jumanne Septemba 8,2020
Baadhi ya wagombea Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwaombea kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnadani mjini Sengerema.
Baadhi ya wagombea Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwaombea kura kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnadani mjini Sengerema.
Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema Bw. Tabasamu akizungumza na kumuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mnadani mjini Sengerema leo.
Picha mbalimbali zikionesha umati wa wananchi waliojitokeza kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Mnadani mjini Sengerema