Wagombea nafasi za udiwani katika mbalimbali mkoa wa Mara
wakihamasishana kupiga push-up kuonesha uimara mbele ya Mgombea Urais
wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala
Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni
katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Septemba 5, 2020
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwasili na
wanae Makongoro na Madaraka Nyerere kujiunga na wananchi wa mkoa wa
Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli
akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini
Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi Septemba 5, 2020
Mama Janeth Magufuli akimwamkia Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria
Nyerere alipowasili kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa
hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara
leo Jumamosi Septemba 5, 2020
Mama Janeth Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa
Mama Maria Nyerere alipojiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa
kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Septemba 5, 2020
Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara leo Jumamosi
Septemba 5, 2020