Home Siasa MKUTANO WA KAMPENI TABATA SHULE

MKUTANO WA KAMPENI TABATA SHULE

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es salaam alipowasili katika Viwanja vya Tabata Shule kwa ajili ya  kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Ilala mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi  leo 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Wasanii wa kikundi cha  Uhamasishaji cha Mama na Mtoto Tausi Ndegela alipowasili katika Viwanja vya Tabata Shule kwa ajili ya  kuhutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Ilala mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi  leo 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Ilala Mkoani Dar es salaam katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Sekondari Tabata Jijini Dar es salaam leo

Wasanii wa kikundi cha  Uhamasishaji cha Mama na Mtoto wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Viwanja vya  Tabata Shule Jijini Dar es salaam leo 05 Sept 2020 ambapo Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aliwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Wilaya ya Ilala.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Ilala Jijini Dar es salaam wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika Viwanja vya Tabata Shule Jijini Dar es salaam leo Septemba 05,2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)