Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Urais kupitia Mh. Dk.John Pombe Magufuli akiwapingia mkono wananchi wa mji wa Bahi waliojitokeza kwa wingi asubuhi hii katika uwanja wa Shule ya msingi Bahi baada ya kuwasili uwanjani hapo asubuhi hii.
(PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-BAHI)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na mgombea Urais kupitia Chama hicho Mh.Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Kenneth Nollo katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Bahi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Mgombea Urais kupitia Chama hicho Mh. Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Bahi katika mkutano wa hadhara mjini Bahi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Urais kupitia Chama hicho Mh. Dk.John Pombe Magufuli akimtambulisha Mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Kenneth Nollo na wagombea udiwani wa jimbo hilo.
Mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Kenneth Nollo akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Bahi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mgombea Urais kupitia Chama hicho Mh. Dk.John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Bahi Kenneth Nollo akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Bahi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Mgombea Urais kupitia Chama hicho Mh. Dk.John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi wa Bahi waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa Shule ya Msingi Bahi mara baada ya kuwahutubia asabuhi hii.
Picha Mbalimbali zikiwaonesha wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Bahi ili kumsikiliza mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.
Baadhi ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma na wilaya ya Bahi wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria katika mkutano huo.