Maafisa Viungo wa Taasisi za Muungano wametakiwa kuhudumia wananchi kwa karibu zaidi kupitia hatua itakayoimarisha Muungano wetu hivyo kupunguza malalamiko na changamoto zinazowakabili wananchi. Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Maduhu Kazi wakati wa ufunguzi wa kikao na maafisa viungo…
Na Hellen Mtereko, Mwanza Jeshi la Polisi Mkoa wa limefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa 63 wanaojihusisha na makosa mbalimbali ya jinai, ikiwemo ya kujihusisha na…