Mshambulaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 21 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa mkondo mmoja wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Merkur Spiel-Arena Jijini Dusseldorf, Ujerumani. Bao la kwanza la Inter Milan lilifungwa na Nicolo Barella dakika ya 15, wakati la Bayer Leverkusen lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 24 na sasa kikosi cha Antonio Conte kitakutana na mshindi kati ya Shakhtar Donetsk na Basel zinazomenyana leo katika Nusu Fainali Jumapili PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LUKAKU AIPELEKA INTER MILAN NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE
By Alex Sonna
August 11, 2020 | 4:58 am

Related Stories
View all
Michezo
1 hour ago
YANGA SC YAREJEA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA
Mabigwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga Sc imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 ya dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo uliochezwa leo…
Michezo
23 hours ago
USHINDI WA SIMBA SC DHIDI YA COASTAL UNION, WAONGEZA PRESHA KWA YANGA
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa…
