Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imefuta kibali kilichokuwa kikiruhusu ndege za Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini. Uamuzi huo umekuja baada ya Kenya kutoijumuisha Tanzania katika orodha ya nchi ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia Kenya kuanzia kuanzia leo Agosti 1, 2020.
TCAA YAFUTA KIBALI NDEGE ZA KENYA KUTUA TANZANIA
By Alex Sonna
August 1, 2020 | 6:57 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
8 minutes ago
PROF. SHEMDOE AELEKEZA BILIONI 5.2 ZA MRADI WA LoCAL ZITUMIKE KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe…
Mchanganyiko
16 minutes ago
PROF. KAHYARARA: OFISI YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI INAFANYA KAZI KUBWA
▪️Aipongeza Wizara ya Habari Maandalizi AFCON 2027. Na Adelina Johnbosco – MAELEZO Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara, ameipongeza Ofisi ya…


