Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), (kulia) Meneja Mikopo Kanda ya Ziwa, Usama Choka na Afisa Mikopo Winfrida Wumbe pamoja na Jonathan Nkwambi (kushoto) wakizungumza na Mwalimu Mkuu wa Shule ya
Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mary walipofika shuleni hapo jana alhamisi (Julai 30,2020) kutoa elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai 30, 2020).
Mwanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Fransisca Massawe akiuliza swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Mwanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, Mwanakombo Abeid akiuliza swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Kibondo iliyopo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wakifuatilia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu matumizi ya mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika shuleni hapo jana Alhamisi Julai 30, 2020).
Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Kanda ya Ziwa, Usama Choka akifafanua jambo kwa Mwalimu Mkuu Shule ya Sekondari Bogwe iliyopo Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, David Kindanda muda mfupi kabla ya
utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu yaliyofanyika shuleni hapo jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Mkugwa iliyopo Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma, wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Mhitimu wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Bogwe iliyopo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, Bravius Katabalwa akiuliza swali akiuliza swali wakati wa utoaji elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu
ya juu. Mafunzo hayo yalifanyika Shuleni jana alhamisi (Julai 30, 2020).
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Winfrida Wumbe (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya Watendaji wa sekta ya elimu Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu shuleni hapo jana alhamisi.