Cristiano Ronaldo (wa pili kushoto) akipongezwa na makocha baada ya mechi dhidi ya Sampdoria, ambayo Juventus walishinda 2-0 usiku wa jana Uwanja wa Allianz Jijin0 Torino na kutwaa taji la Serie A kwa mara pili mfululizo tangu Mreno huyo ajiunge na timu hiyo na la tisa mfululizo kwao. Mabao ya Juventus yalifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 45 na ushei na Federico Bernardeschi dakika ya 67 na kwa ushindi huo, Juventus inafikisha pointi 83 kuelekea mechi mbili za mwisho ikiizidi pointi saba Inter Milan inayoafuatia PICHA ZAIDI SOMA HAPA
JUVENTUS MABINGWA SERIE A KWA MARA YA TISA MFULULIZO
By Alex Sonna
July 27, 2020 | 10:13 am

Related Stories
View all
Michezo
7 hours ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
Michezo
18 hours ago
KOMBE LA EPL KUTUA TANZANIA, GUINNESS KUWAPA MASHABIKI FURSA YA KULISHUHUDIA
Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua rasmi nchini kwa mara…
