Tanzia: Rais Magufuli amelitangazia Taifa msiba mzito wa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa usiku huu . Pumzika kwa amani Mzee Mkapa.  taarifa zaidi zitatolewa.