Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, anayesaini Kitabu cha wageni akijiandaa kuzungumza na Wakimbizi wanaoishi katika Makazi ya Ulkyankulu, Tabora kuacha kuacha kujihusisha na Viendo vya Uhalifu ukiwemo Ujangili badala yake wajikite kwenye urejeaji wa hiari kwenye Nchi zao za Asili kwenda kuijenga Nchi yao baada ya Amani kurejea.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi, akiwaonya Wakimbizi wanaoishi kwenye Makazi ya Ulyankulu, Tabora, kuacha kujihusisha na vitendo vya Uhalifu ukiwemo ujangili badala yake mawazo yao yajikite kwenye urejeaji wa hiari kwenye Nchi zao za Asili ili kwenda kuijenga Nchi yao baada ya Amani na Usalama kurejea nchini kwao.
Kiongozi wa Dini ya Kikristo, Mchungaji Benjamin Joshua, anayeishi katika Makazi ya Ulyankulu, Tabora akifungua Mkutano huo kwa Sala kabla ya Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbzi, Sudi Mwakibasi, kuzungumza na kuwaonya Wakimbzi kuacha kujihusisha na Viendo vya Uhalifu ukiwemo Ujangili badala yake wajikite kwenye urejeaji wa hiari kwenye Nchi zao za Asili kwenda kuijenga Nchi yao baada ya Amani kurejea.
Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Swahibu Amrani Pindu, anayeishi katika Makazi ya Ulyankulu, Tabora akifungua Mkutano huo kwa Sala kabla ya Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbzi, Sudi Mwakibasi, kuzungumza na kuwaonya Wakimbzi kuacha kujihusisha na Viendo vya Uhalifu ukiwemo Ujangili badala yake wajikite kwenye urejeaji wa hiari kwenye Nchi zao za Asili kwenda kuijenga Nchi yao baada ya Amani kurejea.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbzi, Sudi Mwakibasi, akiwatunza Wakimbizi wanaoishi kwenye Makazi ya Ulyankulu, Tabora baada ya kutoa burudani ya ngoma wakati wa Zoezi la Kampeni ya Uhamasishaji kuhusu urejeaji wa hiari kwenye Nchi zao za Asili kutokana na hali ya Amani kurejea Nchini mwao.