Raheem Sterling akiifungia bao la pili Manchester City dakika ya 68 kufuatia Kevin De Bruyne kufunga la kwanza dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United 2-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa St. James Park. Man City sasa itakutana na Arsenal iliyoitoa Sheffield United na Chelsea iliyoitoa Leicester City itakutana na Manchester United iliyoitoa Norwich City Julai 18 Uwanja wa Wembley Jijni London PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED NA CHELSEA ,MAN CITY NA ARSENAL NUSU FAINALI FA
By Alex Sonna
June 29, 2020 | 3:42 am

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
MGUMBA ALETA DHAHABU NYINGINE MALIASILI
Na Sixmund Begashe, Moshi WAPENZI wa michezo wa Mkoa wa Kilimanjaro wameendelea kushuhudia Wizara ya Maliasili na Utalii ikisomba medali ya tatu ya dhahabu…
Michezo
2 days ago
SIMBA QUEENS YAICHAPA YANGA 3-0, YATINGA FAINALI NGAO YA JAMII
NA NOEL RUKANUGA, DAR ES SALAAM SIMBA Queens imefuzu kucheza fainali ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kuichapa Yanga Princess mabao 3-0…
