Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Joelson Mpina kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Sheria ya Maziwa Namba 8 ya Mwaka 2004 ametengua uteuzi wa Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa, Dkt. Sophia Mlote, kufuatia kutoridhishwa na utendaji wake wa kazi. Uteuzi wa Msajili wa Bodi ya Maziwa utafanyika baadae.
MHE.MPINA ATENGUA UTEUZI WA KAIMU MSAJILI WA BODI YA MAZIWA DKT.MLOTE
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/1-1-10.jpg)