Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 43 akimalizia pasi ya Fernandinho na 45 na ushei kwa penalti katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Phil Foden mawili pia dakika za 22 na 63 na David Silva dakika ya 51 na kwa ushindi huo, Liverpool itahitaji kushinda mechi zijazo ili kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa England PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN CITY YAICHAPA MKONO BURNLEY LIGI KUU YA UINGEREZA
By Alex Sonna
June 23, 2020 | 7:14 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
MIXX YAWAZAWADIA WATANZANIA WANNE SAFARI YA KOMBE LA DUNIA MEXICO
Dar es Salaam, Julai 2, 2026 Watanzania wanne wamejishindia tiketi za safari ya kwenda Mexico kushuhudia mechi za Kombe la Dunia kupitia kampeni ya…
Michezo
2 days ago
TRA YAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KIBALI CHA KUANZISHA TIMU YA TRA UNITED
Na John Bukuku, Dar es Salaam Julai 1, 2026 – Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuf Mwenda, amemshukuru Rais wa…
