Postamasta Mkuu, Hassan Mwang’ombe, akizungumza na waandishi katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dkt. Haruni Kondo, akitoa taarifa hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dkt. Haruni Kondo, akisisitiza jambo.
Baadhi ya wa Wajumbe ya Bodi ya Shirika wakiwa katika mkutano huo.
Mjumbe wa Bodi Bibi Fatma Juma na Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe, wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Kanali Mstaafu Dkt. Haruni Kondo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dkt. Haruni Kondo, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Posta Tanzania, mara baada ya mkutano huo. Kulia waliokaa ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu (Mawasiliano), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Bibi Kitolina Kippa na Mwakilishi wa Msajili wa Hazina, Bw. Elikana Mtumweni. Aliyesimama kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu (TCRA), Bw. Wilfred Maro.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC), Kanali Mstaafu, Dkt. Haruni Kondo, katika picha ya pamoja na menejimenti ya Shirika la Posta Tanzania.