Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Gervais Abayeho.
Prof. Kabudi amekwenda Ubalozini hapo kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.
Prof. Kabudi amekwenda Ubalozini hapo kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.
Picha ya Rais wa Burundi Hayati Pierre Nkurunziza wakati wa uhai wake.
Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi Nchini Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.. Kulia kwake aliyesimama ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi Balozi Gervais Abayeho.
Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akizungumza na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Balozi Gervais Abayeho mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.