Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, tarehe 21 Novemba, 2026, kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni, Maafisa Wanafunzi kundi la 07/23- Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25- Regular pamoja na Mahafali ya saba ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa kundi la 07/23

RAIS SAMIA KUTUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI
