Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga picha ‘selfie’ na wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro baada ya kuwahutubia, tarehe 20 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.

Wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, waliojitokeza kumsabahi Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akielekea Moshi, tarehe 20 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Akiitikia Dua baada ya kuwahutubia wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai wakati akielekea Moshi mkoani Kilimanjaro, tarehe 20 Novemba, 2026.
