Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu la Mapokezi alipowasili Shule ya Polisi Moshi Mkoani Kilimanjaro kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi leo Novemba 20,2026.