Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akikata utepe pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, kama ishara ya uzinduzi Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akivuta kitambaa pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, kama ishara ya uzinduzi Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, wakitembelea Kiwanda cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, baada ya kuwasili katika eneo la Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, Novemba 19, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuwasili katika eneo la Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Mhe. Rais Dkt. Samia pamoja na Mwenyeji wake Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, wazindua Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant, Mpigi nchini Uganda
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, wakitembelea Kiwanda cha Double Q Automotive Assembly Plant Mpigi nchini Uganda
Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 202
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiagana na mwenyeji wake Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili, Kampala nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.

