Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. Suzan S. Kaganda, Mkurugenzi wa Kanda wa AFUTA International Alliance kutoka Kenya, Betty Mutesi na mwakilishi wa Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Tanzania, Luteni Kanali Shani Iddi Masasi wakishiriki katika mdahalo wakati wa Mkutano wa Wanawake Wabunge wa Nchi Wanachama wa Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Novemba 4, 2026, kuhusu ushiriki wa wanawake katika maamuzi ya amani na usalama.

WANAWAKE WATAKIWA KUONGEZA USHIRIKI WA MAAMUZI YA AMANI NA USALAMA
