Wachezaji 81 kutoka Mataifa matano Afrika wanatarajia kushiriki katika uzinduzi wa Uwanja wa Gofu wa Fort Ikoma, Uliopo pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa Serengeti.
Akizungumza na wandishi wa Habari kamishina wa Uhifadhi shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Massana Mwishawa amesema shirika hilo limekamilisha uejnzi kwa 100% ujenzi wa Uwanja huo ulipo pembezoni mwa hifadhi ya Taifa unaolenga kupanua wigo wa shughuli za Utalii,kuongeza thamanya Vivutio vya Tanzania na kuimarisha ushindani wa nchi katika soko la Kimataifa la Utalii wa kifahari.
Uzinduzi huo inatarajiwa kufanyika oktoba 18 huku mgeni rasmi akiwa waziri wa maliasili na Utalii Dkt Ashatu Kijaji (Mb) hatua inayotajwa kukuza mchezo huo na kuitangaza Serengeti kama kivutio kinachounganisga michezo na utalii wa Asili.
Mradi huo wa kimkakati ulizinduliwa rasmi Disemba 29,2022 na umejengwa katika eneo lenye ukubwa wa ekari 450 na unamashimo 18 yenye jumla ya Par 72 na miundombinu yake ikiwa imekamilika ikijumuisha maeneo ya kuchezea na kufanyia Chelsea na kufa yia mazoezi pamoja la jengo la huduma za wachezaji ,Barabara,Mifumo ya maji na umeme ,miundombi ya Umwagiliahi na mabwawa ya Kuhifsdhi maji.
Aidha massana amesmea uwa ja huo nisehe. Ya juhudu za shirika za kubjni bidhaa mpya za Utalii,kuongeza thamani ya Vivutio vya Uhifadhi za Taifa na kuimarisha nafasi ya Tanzania katika masoko ya Kimataifa.

