Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Viongozi mbalimbali, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ili kuelekea mkoani Arusha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC). Tarehe 28 Septemba 2026.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Viongozi mbalimbali, wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma. Tarehe 28 Septemba 2026. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na Viongozi mbalimbali wakishiriki Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, kinachofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), leo tarehe 28 Septemba 2026.